Uzi MAALUM kwa watumiaji wa Apple Iphone 16 tu!

Mshangazi

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2024
Posts
1,143
Reaction score
4,462
Huu ni uzi maalum kabisa kwa wale wachache tunaokwenda na muda kiasi cha kuhakikisha teknolojia mpya zaidi ya simu duniani yaani iphone 16 ipo kwenye mikono yetu laini.

Hapa tutaambiana vile ambavyo tunatazamwa tunapopokea simu mbele za watu na jinsi ya kufanya vitu mbalimbali kwenye simu zetu.

NB. Mods MTU AKICOMMENT HAPA na KALKULETA yake ya huawei tecno samsung oppo nk APIGWE BAN MIAKA 3 NA ID YAKE IFUTWE.

Karibuni waungwana wa iphone 16.
 
Samsung is the best.
Alafu watumiaji wa iPhone ni watu flani wasiojiamini, wenye kujiona level sana, alafu kampuni la upinde hilo, mwanaume unatumia simu ya apple 🍎 πŸ˜€?
Hizo tuwaachie hawa mashangingi.
 
Duh! Kapicha ka iPhone 16 Pro Max
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…