Niwe muwazi mimi sio mchimbaji wa dhahabu lakini nimezungukwa na wachimba dhahabu wengi sana hapa ninapoishi kwahiyo nimeamua nianzishe huu uzi maalaum ambao utakuwa ukitumika kupeana updates za machimbo mapya na stories nyingine za kiuchimbaji
Kwa walioko Geita kuna machimbo mapya yameibuka huko Nyamtagata mnaweza kwenda kuangalia chochote kitu
Naona mania ya wachimbaji kutoka Lwamgasa,mgusu,msasa,matabe na wengine kutoka masumbawanga nk washamiminika na mimoko yao
Kwa pande za Simiyu kuna machimbo mapya hapo nyamishiga bebeni moko mkapige kazi
Updates: machimbo ya Nyatamataga yamefungwa juzi baada ya wachimbaji wanne kufukiwa shimoni,kwa sasa watu wote wameondoka watakaokaidi watapatiwa kipigo cha mbwa koko kama kawaida ya kipigo cha machimboni