Baraza la Mitihani Taifa (NECTA) latangaza Matokeo ya Kidato Cha sita (ACSEE) 2026, leo 6.7.2026

Baraza la Mitihani Taifa (NECTA) latangaza Matokeo ya Kidato Cha sita (ACSEE) 2026, leo 6.7.2026

Freyzem

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2013
Posts
10,389
Reaction score
25,291
Taarifa rasmi kutoka kurasa za mitandao ya Baraza la Mitihani ya Taifa ( NECTA), ni kwamba litatoa taarifa ya Matokeo ya kidato cha Sita iliyofanyika mwezi May 2026.

Katibu Mkuu ataongea na vyombo vya habari kuanzia saa 5:00asubuhi.
 
Necta
 

Attachments

  • Screenshot_20260706_080722_Instagram.jpg
    Screenshot_20260706_080722_Instagram.jpg
    99.4 KB · Views: 18
Mbona wengine walishapangiwa form five, haya ni yapi
 
Back
Top Bottom