Uzi maalum Taifa Stars kuelekea Misri June 2019

cutelove

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Posts
3,448
Reaction score
7,972
Baada ya Taifa stars kuingia katika Afcon 2019 kule Misri ,Tanzania na Mataifa mengine yaliyofuzu ni kama ifuatavyo


TANZANIA

KENYA

UGANDA

BURUNDI

DR CONGO

ANGOLA

NAMIBIA

SOUTH AFRICA

MADAGASCAR

ZIMBABWE

MALI

CAMEROUN

ALGERIA

GHANA

MISRI

IVORY COAST

GUIENEA

MAURTANIA

SENEGAL

TUNISIA

BENIN

GUENE-BISAU

MOROCCO

NIGERIA

Utabiri wangu kwenye Makundi

TANZANIA
NIGERIA
ANGOLA
MOROCCO

.............................................................................................
...........

MAKUNDI AFCON JUNE 2019 MISRI

KUNDI A

MISRI

DR CONGO

UGANDA

ZIMBABWE

KUNDI B

NIGERIA

GUENEA

MADAGASCAR

BURUNDI

KUNDI C

SENEGAL

ALGERIA

KENYA

TANZANIA

KUNDI D

MOROCCO

IVORY COAST

AFRIKA KUSINI

NAMIBIA

KUNDI E

TUNISIA

MALI

MAURTANIA

ANGOLA

KUNDI F

CAMEROUN

GHANA

BENIN

GUENEA BISSAU
.................................................
................

Kundi jepesi ni kundi B

Kundi la kifo ni kundi D na C
 

Attachments

  • FB_IMG_1553459397163.jpeg
    41.6 KB · Views: 64
mi nataka waarabu tupu
 
Vyovyote tu itakavyokuwa... Furaha yangu ni Tanzania kushiriki mashindano makubwa ya Afrika.
Kuna kitu tutajifunza huko Egypt, pia soko la wachezaji wetu kucheza nje ya bongo na afrika lipo hapa.
 
Yule Salah au Mane..watawekwa MTU kati na wakina Yondani,Morris na Nyoni watajuta kuwafahamu
 
AFCON ya mwaka huu ya kipuuzi kweli yaani hadi Tanzania inashiriki.!!!!

MGC
Mkuu! Kwani kuna ubaya tukishiriki? Miamba kama Zambia, Gabon (ina wachezaji nyota kama Aubameyang) wameshindwa kufuzu ila Tz tumefuzu kwanini uone hatuna sifa ya kushiriki hii michuano? Heshimu nchi yetu tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…