Uzi maalum: Vitendawili, methali na nahau

Uzi maalum: Vitendawili, methali na nahau

Iyegu

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Posts
6,276
Reaction score
12,404
Habari zenu wajumbe?

Ndugu wajumbe,

Karibuni kwenye huu uzi maalumu wa kukumbuka vitendawili vya shuleni na kutega huku wengine wakitegua kuanzisha na wengine kumalizia methali pamoja na kutoa maana za nahau mbalimbali.



Naanza:
Nahau: Amevaa miwani....
 
Habari zenu wajumbe?
Ndugu wajumbe,karibuni kwenye huu uzi maalumu wa kukumbuka vitendawili vya shuleni na kutega huku wengne wakitegua....kuanzisha na wengne kumalizia methali pamoja na kutoa maana za nahau mbalimbali...



Naanza:
Nahau:Amevaa miwani....
NAMALIZA

AMEVAA MIWANI NI KITWANGA AMELEWA
 
Back
Top Bottom