Habari zenu wajumbe?
Ndugu wajumbe,karibuni kwenye huu uzi maalumu wa kukumbuka vitendawili vya shuleni na kutega huku wengne wakitegua....kuanzisha na wengne kumalizia methali pamoja na kutoa maana za nahau mbalimbali...
Naanza:
Nahau:Amevaa miwani....