Natuma salamu Kwa mbao za mawe na Viatu vya Samaki
Na mimi nimo au umetuma salama kwa warefu tu!sikukuu njema kwa kila mwanajf
Mkuu ni njema sana. Nakutakia sikukuu njemaOoh nimezipata mkuu, habari za huko ulipo?
Mkuu ni njema sana. Nakutakia sikukuu njema
[emoji106][emoji106][emoji106]Nawe pia boss, japo hizi sikukuu huwa sina muda nao sanaaaa!
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
๐๐hiv we mfupi kumbe๐..nawe upo balozi wanguNa mimi nimo au umetuma salama kwa warefu tu!
[emoji23][emoji23]hiv we mfupi kumbe[emoji6]..nawe upo balozi wangu
๐๐๐ni ya wote.... yule mbrazil xmas kasema anaenda beach dadek[emoji16][emoji16][emoji16]Balozi mfupi. Mimi nauliza kama ni salamu ya warefu nichukue kama ni ya wafupi niipeleke Brazil.
[emoji23][emoji23][emoji23]ni ya wote.... yule mbrazil xmas kasema anaenda beach dadek
๐๐๐๐nimemwambia asiende anajifanya haelewi..sijui atavaa nn aisee labda avae deraSema kweli! Mbona ugomvi utazuka huko Beach [emoji905]
Me natuma salamu zangu za Christmas kwa yna2 manengelo Viatu vya Samaki Da'Vinci Mnazareth sheremaya Behaviourist na wanajf wooteKama uzi unavyojieleza kipindi hiki cha sikukuu mkumbuke, Mtumie Salam .Rafiki, Ndugu, Jamaa
Me natuma salamu zangu za Christmas kwa yna2 manengelo Viatu vya Samaki Da'Vinci Mnazareth sheremaya Behaviourist na wanajf woote
merry Christmas