Uzi maalum wa dedication kwa uwapendao.

Uzi maalum wa dedication kwa uwapendao.

ndayilagije

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2016
Posts
7,491
Reaction score
8,304
Katika kusherehekea mwaka mpya 2019 unaoambatana na kupungua kwa siku zangu za kuwa hapa duniani napenda kudedikati wimbo ulioimbwa na Kisaki Selemani uitwao 'shuhuda'.
Uwe maalum kwa marafiki zangu na maadui zangu wote hapa duniani.
Pili ni wimbo wa mwanza kwa wote tulioshirikiana NYEGEZI.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ruksa kudediketi wimbo wowote na kwa yeyote.
 
Back
Top Bottom