Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu salam,
Nimeanizisha uzi huu maalum kwaajili ya kuweka link ya post zote zinazoongelea rafu na kasoro kabla na mpaka siku ya uchaguzi wenyewe wa serikali za mitaa, iwe rahisi kupata kasoro hizi kwa pamoja kila mtu atakapozihitaji.
Nitakuwa na-update kadri yatakavyokuwa yanawekwa JF;

- LGE2024 - Godbless Lema: Kata ya Igama Walimu wanawaambia Wanafunzi wasio na vigezo wajiandikishe
- LGE2024 - Mwanachama huyu wa CHADEMA afichua mbinu mpya wanayotumia CCM kupora uchaguzi ujao wa serikali za mitaa!
- LGE2024 - Uandikishaji Uchaguzi Serikali za Mitaa unaruhusu mtu kujiandikisha mara nyingi awezavyo, ni mbinu ya kuruhusu wizi wa kura?
- LGE2024 - Kilimanjaro: Kituo cha kujiandikisha kupiga kura kimewekwa nyumbani kwa Mwenyekiti wa kitongoji ambaye naye ni mgombea wa CCM
- LGE2024 - Kinondoni: Waandikishaji wapiga kura Uchaguzi Serikali za Mitaa waanza kuandikisha kabla ya muda wala uwepo wa mawakala
- LGE2024 - Watoto wa shule wamekutwa wakiandikishwa katika daftari la Uchaguzi Serikali za Mitaa Luguruni-Kibamba kinyume cha sheria