Uzi maalum wa kuandika Kiswahili cha Kongo na lugha za Kongo

Uzi maalum wa kuandika Kiswahili cha Kongo na lugha za Kongo

Profesa ntare nkobe

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2018
Posts
6,955
Reaction score
8,120
Bandugu na jambo moya nabasalimu shana hapa Bukavu ndio tunatomboka masasi ya M23 yapita kwa juu
 
Bandugu na jambo moya nabasalimu shana hapa Bukavu ndio tunatomboka masasi ya M23 yapita kwa juu
Kuna umuhimu wakati wa kujiunga JF tuwe tunaambatisha vyeti vya kuzaliwa, maana naona wimbi la watoto wa primary kujiunga JF linaongezeka. Hawa ndio great thinkers.
 
Bamutu bale bana pinga hizi mambo batakuja batasema batasema veeeh paka bamate bawavatoke..achaga tu yaan
 
Hataree
 
wakongo bhana wakaja kutuuliza sie madreva hapa lubumbashi et '' tanzanie mutu yenye mapesa mengi munaita nani kwa hiswahili"? tukamwambia anaitwa 'msenge' akaanza kutamba sasa kwa wenzie et
MIMI NDO PAPAA MUSENGE
🤣🤣🤣mungu anakuona ujue🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom