Umenena vema mkuuNyuzi kama hizi zinashusha hadhi ya Jamii Forums.
Hata kama kuna mgawanyo wa majukwaa lakini hii sasa ni too much.
Utoto uliokithiri.
Basi sawa mkuuMkuu wewe andika tuu. Kumekuwa na wimbi la dada FF kukosoa kosoa humu.
kivipi?Naona siku hizi husifii tena wanaume wenzio.