Kwa wale wapambanaji na wazee wa kusikilizia michongo;
Ebu tupieni faraja na matumaini hapa ili kujipa moyo wa kupunguza maumivu yoyote!
Mi nawaambia wadau muachage mazarau!
< Anaringa na kigari chake cha mkopo; ukifika japani hivyo vigari vinauzwa kwa mafungu, Nikitaka gari mi nitaagiza ujerumani iletwe na ndege!
< Anajishaua wakati nafasi yenyewe ya kuteuliwa, bora sisi tuko huru na shughuli zetu hamna hamna kwa siku hamsini hatukosi!

Maeneo yangekuwa yanahamishika, Mimi huko Moshi nina heka tatu, nikizileta DAR pale kariakoo! Unadhani nitauza bei gani!?
< Anaringa na kigari chake cha mkopo; ukifika japani hivyo vigari vinauzwa kwa mafungu, Nikitaka gari mi nitaagiza ujerumani iletwe na ndege!
kujenga nyumba ni uoga wa maisha! Wenye uhakika na kulipa kodi unajenga nyumba ya nini!..
< Anajishaua wakati nafasi yenyewe ya kuteuliwa, bora sisi tuko huru na shughuli zetu hamna hamna kwa siku hamsini hatukosi!
Anavyojisikia na huyo bwanaake mario angekuwa na shepu kama ........ si tungekoma mtaani hapa!