njoo kwetu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 801
- 1,795
too old for this alafu ukirud nyumbani watoto wanakuitaa baba shame....Jina : Shati
eneo: Kibindoni
Kazi: Kupendeza
Ujumbe : Kijana achana na visuruali sijui ndo vimodo! kuwa gentlemen.
amen ubarikiwehahahah
jin:mwanahawa
eneo;mbagala charambe magengeni..dar es salaam
kazi:mfanyabiashara
ujumbe;MJUE SANA MUNGU ILI UWE NA AMANI..NDIPO MEMA YATAPOANZA KUKUJIA.(AYUBU22;21)
Naitwa makinikiaNapenda kuchukua nafasi hii ya kutaka kujuaana maeneo tunapopatikana na si lazima kuweka jina lote sababu ya usalama.. lakin unaweza kuweka kazi au kitu kingine ..
Nianze na mimi mwenyewe...
Jina : Bony
eneo: Bunju B, dar es salaam
Kazi: senior electrical engineers
Sina mke wala mtoto ila ndio nipo kwenye mchakato wa kutafuta mwenza...
Ujumbe : Dont wait until you're rich to be happy... happiness is free
sio senior engineer tu ...pia wwe ni senior bachelor ...ππππNapenda kuchukua nafasi hii ya kutaka kujuaana maeneo tunapopatikana na si lazima kuweka jina lote sababu ya usalama.. lakin unaweza kuweka kazi au kitu kingine ..
Nianze na mimi mwenyewe...
Jina : Bony
eneo: Bunju B, dar es salaam
Kazi: senior electrical engineers
Sina mke wala mtoto ila ndio nipo kwenye mchakato wa kutafuta mwenza...
Ujumbe : Dont wait until you're rich to be happy... happiness is free