Blue Bahari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,851
- 2,171
Jina: Blue bahari.
Kazi: mfuga samaki,
Makazi: Majini.
Ujumbe: Ukitaka kuona udhaifu wa meli au jahazi subir bahari ichafuke.
[emoji8][emoji8]Hatimayeeeee
Bro ndio maana nikasema jina moja... kwa maana ukisema ww ni juma... upo dar.... kuna juma wa ngapi darNaona hauna lengo zuri wa wenzio
mkuu umeona mbali mashushu wengine wanatufuata hadi pm jamani yupo mmja namtakia maisha mema ...
Ha ha ha.. vyote sawa tusio senior engineer tu ...pia wwe ni senior bachelor ...ππππ
Anataka kutapeli watu huyo, aweke kitambulisho cha kazi.Kwa dhumuli lipi hasa
jf itasimama milele leo jana na kesho kutwa hizi hizi id zetu zinatosha hayo mengine remain constant....ndio hivyo mkuu hapa akili kubwa lazima itumike maana hata mfalme aliwahi kusema anatamani malaika washuke waje waifunge mitandao ya kijamii lakini moyoni mwake ni JF tu ndio inamnyima usingizi maana humu watu wanajitambua na wana hoja nzito zenye mashiko
great AMEEEEEEEEEEN, long life to Jamii forums, long life to Maxence Melo.... hasta la victoria siempre patria or muerte venceremos.jf itasimama milele leo jana na kesho kutwa hizi hizi id zetu zinatosha hayo mengine remain constant....
Nipo Kibiti, karibuHumu JF wote wanakaa Daslam....
ππππππgreat AMEEEEEEEEEEN, long life to Jamii forums, long life to Maxence Melo.... hasta la victoria siempre patria or muerte venceremos.
great thinker bluce leeππππππ