Uzi maalum wa kujuzana kwa wale waliotuma maombi ya Appeal katika bodi ya mikopo HESLB

Uzi maalum wa kujuzana kwa wale waliotuma maombi ya Appeal katika bodi ya mikopo HESLB

Msuya45

Member
Joined
Aug 16, 2024
Posts
12
Reaction score
5
Wadau habari zenu,

Leo nimeona bodi ya mikopo wametoa taarifa lakini ghafla wakaifuta katika mitandao yao ya kijamii, je bado majibu ya appeal hayajatoka rasmi?

Naomba tutumie uzi huu kupeana updates kwa kile kilichojiri kuhusiana na maoimbi ya APPEAL.
 
Umeangalia kwenye account yako? Kama umeangalia hujaona mabadiliko yoyote?
 
Umeangalia kwenye account yako? Kama umeangalia hujaona mabadiliko yoyote?

now nimeangalia nimekuta allocation, sikujua kama tayari aisee sasa nina amani
Capture.PNG
 
Una appeal nini mshamba wewe!!!
Wafate huko huko bodi kawakoromee!!
 
Vyema sana, lakini nimeona wengi mwaka huu hawajapata hawajatendewa haki kabisa...

Wewe sasa ushapata na usije ukatapanya kwa matumizi ya hovyo 😁
mkuu nimeteseka sana lazima nijipongeze angalau kidogo tu
 
Vyema sana, lakini nimeona wengi mwaka huu hawajapata hawajatendewa haki kabisa...

Wewe sasa ushapata na usije ukatapanya kwa matumizi ya hovyo 😁
Hii bodi inatesa watu sana aisee!
 
Back
Top Bottom