Poker
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 5,445
- 14,828
Kama unahisi kunamtu umemkwaza kwa namna yoyote ile au ulimkera kwa njia yoyote basi uzi huu utumie kumuomba msamaha ili maisha yaendelee! Maisha yenyewe ndio haya haya let's forgive, forget and move on! Ukiombwa msamaha na wewe samehe kwani hutopungukiwa na kitu, let peace and harmony be with us hapa jukwaani. Chuki siyo poa wala makundi makundi hapa jukwaani siyo poa.
Amani na Upendo vitawale kwa members wote. Peace and Peace ✌️✌️ Poker nawapenda wote. 😉