Uzi maalum wa kuombana msamaha na kusameheana! Members only

Poker

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2016
Posts
5,445
Reaction score
14,828
Kama unahisi kunamtu umemkwaza kwa namna yoyote ile au ulimkera kwa njia yoyote basi uzi huu utumie kumuomba msamaha ili maisha yaendelee! Maisha yenyewe ndio haya haya let's forgive, forget and move on! Ukiombwa msamaha na wewe samehe kwani hutopungukiwa na kitu, let peace and harmony be with us hapa jukwaani. Chuki siyo poa wala makundi makundi hapa jukwaani siyo poa.Amani na Upendo vitawale kwa members wote. Peace and Peace ✌️✌️ Poker nawapenda wote. 😉
 
Nisamehe sana Saint Anne kwa yale yote ya nyuma ungali bdo moyoni!
 
Adui Yako ni kumuombea mabaya, kifo na njaa tuuu. Utakuwa mpumbavu ukimuombea mazuri, uhai na shibe.
 
"To forgive the terrorists is up to God, but to send them to him is up to me" V. Putin
 
Wote niliowaroga wakati nikiwa mlozi.. Zilikuwa ni hasira tuu.. Natambua wengine tulishamalizana PM, wale ambao bado watambue kisasi hakifi.. Wasubiri moto zaidi[emoji95][emoji35][emoji34]
 
Wote niliowaroga wakati nikiwa mlozi.. Zilikuwa ni hasira tuu.. Natambua wengine tulishamalizana PM, wale ambao bado watambue kisasi hakifi.. Wasubiri moto zaidi[emoji95][emoji35][emoji34]
Samehe mkuu mbona mi nilishakusamehe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…