[emoji23] [emoji23] [emoji23]Huu ni mamba nadhani
Kufuturu gani huko. Lol
HahahahaWewe ndio unafika mwisho kesho utaendelea walipoishia wengine
Kesho mida kama hii mkuuKesho saa ngapi mkuu?
[emoji2] nipo pacha. Za kutwa?Pacha nakuona nakuona
Numbisa umeanza kunisema lini aisee..
Naona unafurahia kugonjwa likeUkigongwa like na we gonga
Toka uzi unaanza tupo wote nadhan muda wa kupumzika sasa [emoji1]Tulia wewe bado hazijatosha...sisi bado TUPO(In Makongoros Voice)
Hahaha ya kazi gani mkuu?Natak malike yakutosh
Kimbiza kimbiza Uzi unazidi kupaaaaa zaidi ya bombadia yetu
Kwanin hizi likes mwisho 5 tu?.. mods ebu liangalieni hili
Salama, nilipotea kwa muda nimerudi hapa kwenye vurugu[emoji2] nipo pacha. Za kutwa?