[emoji15] [emoji15] [emoji15] ndio kawa hivi duuhNani anakikumbuka hiki kitoto cha kwenye ile movie ya home alone? Saivi kimekula chumvi hatarii kimekua kibabu cha kukata na shokaaView attachment 525120
usifweeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]My nafwaaa
Usifwee kwanza nina like kama 200 hiviMy nafwaaa
Kimbiza kimbiza Uzi unazidi kupaaaaa zaidi ya bombadia yetu
Powaa mkuu ila salute sana kwako tumekomaa na huu uzi kinoma...Lazima tuingie Kwenye Jf Hall of Fame!! I am humbled you know...!!Toka uzi unaanza tupo wote nadhan muda wa kupumzika sasa [emoji1]
Haya nitupie malike mieUsifwee kwanza nina like kama 200 hivi
[emoji15] [emoji15] [emoji15] ndio kawa hivi duuh
Futari imeliwa kimya kimya tayari[emoji2] nipo pacha. Za kutwa?
Karibu sana pacha. Wameshindaje nyumbani?Salama, nilipotea kwa muda nimerudi hapa kwenye vurugu
Kweli kabisaPowaa mkuu ila salute sana kwako tumekomaa na huu uzi kinoma...Lazima tuingie Kwenye Jf Hall of Fame!! I am humbled you know...!!
Nipe na mimiTushakupa
Saafi.Naliamsha dude baada ya iftary
Toka uzi umeanza upo..... chukua like tenaPowaa mkuu ila salute sana kwako tumekomaa na huu uzi kinoma...Lazima tuingie Kwenye Jf Hall of Fame!! I am humbled you know...!!