Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Hapa nipo na like hadi kitufe cha like kimekuwa chekundu.ngoja nikutembezee like za kutosha
Nami pia nimekupa [emoji23] [emoji23]Nawe ni ni nimekupa!
Mkuu JF ina maajabu ....wacha tuuMbona niki click avatar yako linatokea dume?? Kulikoni??
Hapana,ni joka tu ila makengeza sina.nitake radhi mheshimiwa.Sacco's? wewe siyo huenda ni joka la makengeza!!
Usijali kuhusu mb, vocha etcKabisa miaka yote ila usiishie hapo hata tukiishiwa MB tuwe tunasaidiana basi jamani. [emoji125] [emoji125]
Ahsante sana kama hicho chako tu. [emoji23] [emoji23]Hahaa labda
Na hicho kiavatar kimekupendeza ww
Andaa store tu ya like mkuuNimecheka sana......... ngoja niendelee kusubiri muujiza
Kwa kifupi ni KUGONGANA tuuu...Gonga ugongwe like ndio mtindo wa humu
Daah mkuu hukaribishi, au hadi tufunge woteNilikuwa nafuturu mkuu
Wacha wee [emoji2] [emoji2]Mtoto angesikia, nisingeenda kazini, jinsi anavyonipenda we acha tu