Kaweka kijiji karibu chote sehemu moja!Huyu aliyeanzisha huu uzi atakuwa Freemason ...
Nsharudisha hahaUmepata ..haya rudisha na wewe
Tia like hizo mkuuNacheka kwa dharaaaaaaaaaaauuu!
Sawa ila speed ni kali zaidi.Muwe mnalike kila post kama Wakuu
Haya na mimi nipeNimeshakupa Mkuu Humu ni like tu
hamna namna we like tu twendeHapa mpaka kitufe cha like kwanza kijute kuwepo duniani.
Natia LIKE wakuu hadi nachanganyikiwa
Like hadi post zinaona wivuHakika humu ni mwendo wa likes tu
Mi nakukumbusha...kwa niliyemsahau kumpa [emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106] yake anikumbushe
Hahahaha mbona nduki sasaNimeshaanza maandalizi haya karibu [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Chezea like za bure, magu akiingia huku walahi hatubaki salama!!Kumbe tuna-post mpaka methali...
We endelea kucheka...badala ya kutwanga like..Nimecheka sana.
Tuwaseme tuoneTukiwasema Mkapa na Kikwete hapa, huu uzi utafungiwa?
Hadi rekodi nazo zinataka kuja kupiga likeNaona uzi unapanganika katika rekodi