Losser Bad
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 584
- 1,346
Kimekula chumvi au unga?
Mission possible hii ni like tuPost yenyewe likes 5 tu! Naona ushafeli...mission impossible.
Kabisa wengine hajampa haki yake. [emoji2] [emoji2]NABII WA LIKE!
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
HahahahaMpo vizuriView attachment 525227
Hebu nendeni page ya kwanza mkampe likes za kutosha mbunifu wa huu uzi halafu ndio tuendelee
Hapa ni like hadi emoji zimepoteaMkuu yeyeto atakeyasaini tu hapa me nitatoa like kubwa sana.
Wengine tulianza nae mapema tu leo saa tatu! Ilikuwa Ukipata muda unakuja unachunguli unakula like kisha unaenda endelea na kazi!Hebu nendeni page ya kwanza mkampe likes za kutosha mbunifu wa huu uzi halafu ndio tuendelee
Kabisa aisee kuna ile ya kidhungu sijui kama tunaisoma hadi mwishoHivi mnasoma kweli comments? Mtasainishwa mikataba mibovu bila kujijua kwa kulike!