Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Than that jf ni likemore than that!!!!!!!!!
ngoja tujipange
Haya aliyejizolea LIKE nyingi zaidi je achukue zawadi yake
Utazikimbia wewe tu likeMimi bado...
Wengine wamesahau ndio tunawakumbusha nao waendeWengine tulianza nae mapema tu leo saa tatu! Ilikuwa Ukipata muda unakuja unachunguli unakula like kisha unaenda endelea na kazi!
HahaaaaLeo mpaka asubuh mwendo wa like tu
Wale wenye vilike viwili wamepata mkombozi...
Nimeanza kichina kwanza like za kichina ni mbwembwe like uoneEbu jaribu kulike kwa kwa kiswahili hapa
Kule si ntapigwa mkuu, nasikia ukizidiwa ukala wakakuona unachezea kichapoNenda Zanzibar ukafunge bila kunuwia. Hapa like tu basi.