Nipe likePunguza maneno weka like
sawa chukua [emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]Mshind mie
T generationttcl
Wamebuni mfumo mzuri sana wa kupata likesJamii Forums kuna watu wabunifu sana iseeh [emoji1] [emoji23]
nimekupaNipe bas na weq
Like tu napitaMpooo
Chukua hiyoLeo nmepata like zako za kutosha mkuu big up nmekupa nyingine
Like back dearestKula like mpendwa
na zaidiHuu uzi unakimbia kama bombadear iliyobeba makinikia hahahaaaa
Acha maneno leta likeHauko serious Mkuu.
Hahahaha maana tumewafikia mpaka waanzilishi wenyewe! Hahaafu thread yetu tutaiboresha iwe SGt yan standard gauge kabisa thread....napenda ila watupe ban wote tulopeana likes humu....natania mods.
Angalia vizur watu zipo ad 8Mbona mko chini ya likes5 kila mmoja badilisheni uelekeo huo ni umavi kununka
Samehe saba mara sabiniKuna mtu kanipa like, halafu amerudi kuichukua...
Namwangalia tu[emoji38][emoji38][emoji1]
Asantenimekupa
Huu uzi unakimbia kama bombadear iliyobeba makinikia hahahaaaa
Hiyo kichwa kichafu natia likeUkiitwa jina....sema jana na leo
Kama jana hukuwepo ....sema leo
Na kama hujapokea like ...sema bado.