Imebidi niufungue nijue kuna nini humu? Maana sio kwa kasi hii!! Umenikumbusha uzi wetu wa kiba's fansHuu uzi unakimbia kama bombadear iliyobeba makinikia hahahaaaa
Leo ni kugongana....
Nina meli kumi zimejaa likes.Huu uzi unakimbia kama bombadear iliyobeba makinikia hahahaaaa
[emoji4][emoji4][emoji4]Like tu
Hapa ni like tu hatupangiwi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe jamaa mjinga sanakuna jamaa hadi PM amenipa [emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
Hehe imoji yako imenikosha mkuu kichwa kichafuSawa=like