Halafu kila nikiona post yako moyo unasisimka sana....
Hahahahah!...Mtoa post umesamehewa dhambi zako
Umeshaenda peponi
Nduki na likeNduki
Mmmmh
wamechelewaNataka likes zingine, nataka ziwe sawa na idadi ya post
KulikeKipi kitamu kati ya kulike na kugegedana
Sitakuangusha kabisa keep ma words.Miee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mods tafadhali nawaomba mtuache kwa kweli kama mna breaking nyuzi mtatustua nani katumbuliwa au nani kateuliwa tuje tumpe likes
Ila watu wamejitahidi mwendo wote huu bila matusi [emoji23] [emoji23] .Jamani huu uzi tusitukane kabisaaaa yani tuwe wastaaarabu kama joseverest