Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Haya ni mapambano ya kuangusha nguri wa majukwaa wa humu maana wamekuwa na likes nyingi sna, sasa mmekaa mmefikifiriaa mmeona mje na hii mbinu, mtu aliejiunga jana atakuwa na likes nyingi kuliko asprin au mzizi mkavu"""

Hii ni zaidi ya Andrew chenge! Kazi kwenu mm naelekea kulala
 
Likes kwa wote hatuna ubaguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…