Siafu na Manga
JF-Expert Member
- Aug 5, 2013
- 2,884
- 8,956
Kabisa mkuu watu leo wameitikia mwito wa kulikeNadhani muujiza umeuona
VyoteKipi kitamu kati ya kulike na kugegedana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uwiiiiiiiiiiKijana ntakupasuaaaaaa [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Au unataka jina lako litokee kwenye riport ya makanikia Part 4
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
True thatHuu uzi hauvunji rekodi utavunja cha kurekodia..
mtandao pendwaIyo ni tigo mkuu
Jinsi anavyokuwa nasi atakionaSisi tunacho[emoji106]
[emoji23][emoji23]Aiseee kuna message za wasap zinaingia ntasoma kesho leo nipo likizooo nakula likes
Haijawai kutokeaBila shaka huu ni uzi pendwa kuliko nyuzi zote
kuna jamaa asubuhi alikuwa ana likes 5 afu ni new member ila saiv naona ana likes 2000 afu eti ni expert member...aseee jamaa hajalipa kodi kaiba likes humuuu.kamati itaundwa kumchunguzaaaa hahaha
patamu hapokuna jamaa asubuhi alikuwa ana likes 5 afu ni new member ila saiv naona ana likes 2000 afu eti ni expert member...aseee jamaa hajalipa kodi kaiba likes humuuu.kamati itaundwa kumchunguzaaaa hahaha
Amekula like hadi kasahau dakuPole mkuu hujapata like? Inabidi ukaoge maji ya bahari kuondosha nuksi
Like yangu imekupa jibuHUU UZI BADO UPO ACTIVE TUU?
hahaha kula like mkuu.Uyo ni Acacia