Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

kuna jamaa asubuhi alikuwa ana likes 5 afu ni new member ila saiv naona ana likes 2000 afu eti ni expert member...aseee jamaa hajalipa kodi kaiba likes humuuu.kamati itaundwa kumchunguzaaaa hahaha
Tayari likes hazina thaman tena, saivi huwez mjaji mtu kwa likes zake, jamaa wamekuja na mbinu ya kuibomoa thaman ya likes!!! Hebu nitajieni kingine cha kuonesha thaman ya mtu huku kilichobakia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…