Nami nimekupa like beautiful baeIli iwe nini? Wewe dondosha maLIKE ya kutosha
hakunaaaa,nadhani yote hii ni kwasababu hakuna kisichowezekana chini ya jua.Tayari likes hazina thaman tena, saivi huwez mjaji mtu kwa likes zake, jamaa wamekuja na mbinu ya kuibomoa thaman ya likes!!! Hebu nitajieni kingine cha kuonesha thaman ya mtu huku kilichobakia
Haswaaa maana hahieleweki kama ambavyo koromije kwenyewe hakuelewekiKoromije
Mkwe rudi hapa!!Mods futeni hii kitu..
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mimi hapa waxAdmn wa huu uzi ni nan?
Love likeLove
Ni mwendo wa tia utiwe.....(likes)Me nimefika hapa nashindwa kwenda japo kuchungulia MMU tena. Tunakulana likes tuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haki huu Uzi umenikuna sana.