Mimi nipo team chenge team mwanasheria msomiiiiTupo mkuu. Wewe upo timu ganu?
Nimekunywa kahawaUkhuty anasinzia uku.
[emoji38][emoji38][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23]Mi mwenye hadi nihakikishe WI-FI imeandika umefika kikomo
[emoji4] [emoji4]
Mkuu weka like kwa kiswahiliNi kawaida ya pyramid schemes. They eventually collapse!
Ten kala hasaraasiyekuepo humu leo atajutaa
OK! Ila kuna zinazoonyesha zaidi ya 5Kwenye app hazizidi tano. Ukitaka kuona idadi kamili tumia browser kuziangalia...
Na wewe kula like mpendwaDah alaf nimesahau hadi kula coz ya kugawa likes[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ahahahah! Nouma sanaaBAADAE HIZO LIKES ZINAGEUKA BITCOIN AU TUTAZITOA KWA MPESA NINI??!!!