Kula like...hapa likes tu mkuu shida haziishi ziweke pembeni upate raha kidogo.ukosefu wa ajira huu
Leo akina mods hawapati shida sana, maana wazee wakorofi kwa siasa wapo huku wanatafuta likes tu.Mods wako wapi tuwape likes
nipe likeKazi yangu leo usiku ni kuwapa malike ...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hahahaha.......mkuu jamaa naona kakuvuta hadi chitchat..chezea nifah wa bold.
Nishakupanipe moja nikalale
Ahsantee mkuu nawe kula likekula like
umepata like??Asante
Lala utazikuta kesho zipo tuUwiiiiiiiii bado mpo tu? Mie nimechoka kwakweli.
Kwaherini jama, panapo majaaliwa.
Nimerefresh akili vya kutosha, asanteni wote...Hasa mliokomenti kwa kutumia neno 'makinikia' [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sana kwa kweliHuu Uzi umechangamka hadi raha
Asemaye kesho ni muongoLeo ndo leo