Yani leo kama una ka thread chako uchwara kaa mbali maana hutapata comment wala like huu uzi umetake over JF leo. Ngoja nikatunze ka Uzi kangu hadi kesho.
UmexhelewaNamimi nimekuja
Djx9eocjedickdHata haki yake ya ndoa leo hakuna mkuu? Likes zime-take over eeeh?
Kama kawaida natia mihuri ya likeKaribu tena.....
Chukua like na wewe toa likesNamimi nimekuja
upo juu au chini?
Umekula like nyingi sana hujachok tuHuu uzi kibok kabis
HahahahaNa kama umenichoka niache kistaarabu
Show love kwa kulike huu uziNaleo nimezikusanya