Hapo watakuwa wamezima moto kwa kutumia petrol.natabiri huu Uzi utafutwa ninavyowajua HAWA mods Naombeni mods na nyie mnipatie likes zenu bhana maana nyie ni watu Adimu sana humu
Na yangu like nshakudondoshea.Ushindwe mwenyewe hapa ndiyo nyumbani pa like
We mchokozi ww
Wanatoka kolomije tu,ila vyeti ni orijino vya mjerumani kabisa.Halafu mbona mnabania like wakuu mna vyeti feki nini hata like zinawashinda?... Hebu bonya hapo like
[emoji106]&me2likes
Well saidHapo watakuwa wamezima moto kwa kutumia petrol.
Show love kwa kulike huu uzi
bila shaka hawa ni wanyakyusa!
Ntakuwa nakosa hekima nsipoitenda haki. Hapa ndo nyumba ya like bhana[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji1] [emoji1]Hapa ndo mahala pake mkuu like chukua..[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Kula like.Dah kwa kweli mi nimeshaaga zaidi ya Mara moja ila najikuta nimerudi....