Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Usisahau kulike huu uzi kushow love kwa mleta uziNimeweka lengo mpaka mlale wote Nami ndo nitalala
HahahahahaahSinta shangaa kusikia kama kuna watakao achwa kesho kwajili ya post hii.
Lava lava mziki mzuriNa kama umenichoka niache kistaarabu
Kazi kweli kweli
Tunapeana hadi raha.Nipen tu bila kuchoka