marcus rojo
JF-Expert Member
- Mar 19, 2017
- 1,496
- 5,319
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji56] [emoji56] [emoji56] [emoji56]Watakukoma leo.
Kazi kubwa kweli mkuuKazi kweli kweli
Waambie na jamaa wasisahau kulike huu uzi love kwa mleta madaLikes ni nzuri jamani
Hapo patamu maana na mimi nasubir watu walale sijui nan atakuwa wa mwisho [emoji3] [emoji3] [emoji3]Nasubiria wote muondoke nifunge hesabu ya likes
Oya, umedampiwa au mbona kujitetea kwingi?? Komaa!I am a good boy
Like na huu uzi kushow love kwa mleta madaNtakuwa nakosa hekima nsipoitenda haki. Hapa ndo nyumba ya like bhana[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji1] [emoji1]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Jaman natoa alert kwa mgeni yeyote humu kwamba asithubutu kuanza mchezo huu wa like. Haujawai muacha mtu salama