Mmeishiwa nguvu
HawathubutuMods wanaukodolea machoo huu uzi....wanataka kuufungia....
[emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170]Sijazionaaaa[emoji41]
Anza kwa kulike huu uzi.Sasa huu Uzi ili uweze kudumu kwa manufaa ya wotee tukipata mada nzuuri zenye mashiko tunaweka
[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]kuna hiki kijamaa sijui joserevest yani kila post cha kwanza kureply
[emoji23][emoji23][emoji23]Niliaga nimerudi..... Uvumilivu umenishinda...