Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Ntu-mtu cc faiza foHanna ntu aliye lala
[emoji23][emoji23][emoji23]Hapa ndio nakumbuka ule wimbo wa no body can stop likes. Sorry ni remix ya no body can stop lege
Watu wamelala, mbona kimya
Sahihi kabisaWazo zuri sana watu wenye mambo moto moto ya hapa na pale stori ambazo hazina haja ya kuanzisha thread ziwe zinatupiwa humu
Hii ni social network mpya inaitwa likesWakubwa cmu yangu haioneshi screen vizuri. Nauliza humu instaa au facebook.?
Aje tumpe zake ila huku hakuna tabia ya ubishi bali ni Ku like tuNtu-mtu cc faiza fo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mbona wewe Galapagosi anakukamatiaga mi nimekausha na cha ajabu hujamtambulisha home..au nikuchomeshee kwa mshua??
Wazo limefanikiwa sana. HongeraDah Yaani wazo tu lilikuja nilikuwa natafuta kitu kitakachotuunganisha members wote bila kujali umri,dini,kabila,itikadi wala tofauti yoyote. Nikaona like ndo kitu kitakachotufanya tuwe kitu kimoja na tunaenjoy wote. So mkuu tuendeeleni kupeana likes na stori za hapa na pale
Humu ni like furomWakubwa cmu yangu haioneshi screen vizuri. Nauliza humu instaa au facebook.?
Avatar yako haina maadili ya kiafrika mkuu.Hapa ndio nakumbuka ule wimbo wa no body can stop likes. Sorry ni remix ya no body can stop lege
Analeta dharau[emoji1] [emoji1] [emoji1]aseeh kijamaa tena [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji134]
Humu ni mtakuja villageWakubwa cmu yangu haioneshi screen vizuri. Nauliza humu instaa au facebook.?