duuuu we noma mida ndio hii.mkuu[emoji23] [emoji23]Alaaaaa.......Basi mi nkadhani ni saa saba nchana
Spectacular walahi
amina mkuuMaulana Mola wangu atujalie baraka tele katika maisha yetu na nchi yetu milele yote!
kwa kweliNi asubuhi yenye baraka na furaha
amina mkuuUpendo na amani vitawale nchi yetu
kam kawa kama dawaMwendo ule ule