Nani kasema?? Ngoma hailali hiiHazipo leo, watu wamevimba mavidole sabab ya mtiti wa jana
Tulilewa likes, tukalala, tukaamka na hangover ya likes kwa hiyo tunazimua na likesHivi mlilala kweli nyie??mana naona mnajazana tu likes[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Usisahau kushow respect kwa kulike uziCha ajabu mi nimevuna likes nyingi kuliko CEO
zaidi ya bombadiaUzi umetembea
Hiyo ndugu yanguJana humu nmevuna likes 100 so leo wakuu kama kawaida leo nahitaji 50 pekee....hayaa gonja like maisha yaendelee
Picha tafadhalithubutu..mie kipo tena kirefu balaa sasa ukikata antena chanel zitashika vipi??
Hahahahazaidi ya bombadia
Chukua like kwanza.Mna balaa nyie
Njema kabisa mkuuHabari za kukesha!
Kwa kweli hebu na mimi niudake!Siku imeanza na like za kutosha,,maana mpka saa mbili usiku nadhan tutafika 10k duuh huu uchawilazima ni wa kanda ya ziwa