Gene da beauty
JF-Expert Member
- Apr 18, 2017
- 446
- 830
Za mbayuwayu changanya na zko[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] afu kuna MTU kakutaja huu Uzi we ndo the boss!!Ukifanya masikhara na huu uzi.utakuja jua limezama na haujaingiza kitu,kwa herini.
Walishindwa nini kuandika calf [emoji4]ndama mtoto wa ng'ombe
Hakika uzima ninao, habari za siku teleMkuu mzma wewe?
Wifi/kaka?Ngoja aje mwenyewe atakujibu [emoji23] [emoji23]
Vijana wa dar..Huku swafii, Mungu mwema ndo napata lunch hapaView attachment 524970
[emoji111]duuu kumbe kutoa LIKE kazi sana ,nani sijampa anyooshe mkono
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wahenga ndo wamajaa makapuku!!!Opportunity ziko hapa kule Kuna wazeeee tu
Ulijiunga makapuku kwa noKweli mkuu nilijiunga makapuku ndani ya mwezi nimeshiba malike dah bahati mbaya nikapoteza cim ikabidi nibadili no na kila kitu!!
Mkuu huyo ni sato au dagaa.... Kweliii mikoani kuna raha sanaHuku swafii, Mungu mwema ndo napata lunch hapaView attachment 524970
emmyta mic yew sanaaaNamshukuru allah inakwenda salama sijui huko kwako?
Mpe hongera mpishi. Hivyo umeamka wakati mzuriHuku swafii, Mungu mwema ndo napata lunch hapaView attachment 524970
Kula like mkuu kiingereza sio like kila mtu anaweza kupataWalishindwa nini kuandika calf [emoji4]
Hyo avatar nusu nikate pumzi[emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31]duuu kumbe kutoa LIKE kazi sana ,nani sijampa anyooshe mkono
Kweliii kabisaa hujakoseaVijana wa dar..
Kaka yangu huyoo [emoji124] [emoji124]Wifi/kaka?
Akija wifi naondoka nae
Kuna senti tano hapa inalipaaNauza simu ya wizi
Nyie ndio wale wapakwa Mafuta