Nyamaganailemela
Nenda sisi badoWakuu naomba mnipe break
Huu uzi hauna itikadi ila ni kukutanisha wote kwa pamoja hamna matabaka wala chuki.Kuna taarifa za chini kwa chini ambazo nimepenyezewa na member kutoka MAKAPUKU FORUM kuna kikao wamekaa jana usiku saa nane za usiku kujadili mstakabadhi wa hii thread, ndani ya siku mbili imepata wafuasi wengi na ndiyo thread inayo trend kwa sasa hapa jf... kuna njama mahususi zinapagwa kuhujumu hii thread...
Sawaa...Anza kwa kulike uzi wetu pendwa.
Tumia browser kuona like zote
Misungwiilemela
[emoji119][emoji137][emoji119][emoji119][emoji137][emoji137][emoji106][emoji109]
Pamoja mkuuTumeamka salama na hongera zako mleta Uzi huu.kwa kipaji ulicho jaliwa maana hii pata Like imenichekesha sana sikutegemea ningepata furaha mwezi huu .so asante sana na pata like zako za kutosha mkuu
area c ama chama , bahi roadDodoma