Ujumbe kuntuMkumbuke kusali.
Kumbuka kulike uzi huu pendwa na kumbusha na marafikiKwa sasa,this is the trending tthread kuwahi kutokea kuliko zote. Imezifunika hadi zile za makinikia.
kirumbaNyamagana
wamepotea mazimaNgoma inogile...Makapuku forum wataisoma namba...
Hehehehe wajipange,watasubiri sana ndio kwanza uzi una trend kwa kasi ya 4G hhahhah.Kuna taarifa za chini kwa chini ambazo nimepenyezewa na member kutoka MAKAPUKU FORUM kuna kikao wamekaa jana usiku saa nane za usiku kujadili mstakabadhi wa hii thread, ndani ya siku mbili imepata wafuasi wengi na ndiyo thread inayo trend kwa sasa hapa jf... kuna njama mahususi zinapagwa kuhujumu hii thread...
Kichwa kichafu hatokuacha salama kwenye like.sijawahi pokea likes nyingi kiasi hiki, ila bado hazitoshi, please i need likes guys
CHAMAarea c ama chama , bahi road
[emoji106] [emoji106] [emoji106]
Tena sana tu.Ngoma inogile...Makapuku forum wataisoma namba...