sh ngapi una ...uza....Nazungusha kashata kwa nyote..
Uzi hauna itikadi wala chuki kwenye forum zingine.Kuna taarifa za chini kwa chini ambazo nimepenyezewa na member kutoka MAKAPUKU FORUM kuna kikao wamekaa jana usiku saa nane za usiku kujadili mstakabadhi wa hii thread, ndani ya siku mbili imepata wafuasi wengi na ndiyo thread inayo trend kwa sasa hapa jf... kuna njama mahususi zinapagwa kuhujumu hii thread...
Leteni ma likes huku wajameni!Kila comment kuna like tano vp hiyo?