MaputoMSUMBIJI
Watu wamechoshwa na swagga za yule baba... na mwanasheria noninoMods watu wanatiririka aisee afu hawa wadada wa Tanga ndio usiseme plz mods watu wameacha kuchangia uzi zenye tija wamekimbilia huku kama vipi futa thread.
Hebu chukua like kwanza maana si upuuziNimeamini watu wanapenda upuuzi
Taji kwa mshindiHa ha ha ha baada ya mpambano nini kitafuata
TayariAnza kwa kulike huu uzi wa mleta mada
Ngoja nikemee hizo roho, haya jishike usije ukaanguka, ninaanza....Jinsi tunavyoendelea kuishi kwenye haka kakijiji ketu hiyo roho ya uchoyo wa like kwenye uzi wa like utaisha tu
Humu ndo tutakapo dumu mpaka mwishosema
Matakoo bara ArushaCorner bar