KaribuI'm back.....
Leo ni kuguna tu,kiu kishakukaba[emoji23] [emoji23]
Numbisa weka ile kituNi wimbo wa mr ebo. Me mmasai bwana
Indeed!Mwana harakati
Pata like ww usiyekuwa kwenye huu uziNina wasi wasi kuna watu wanataka kuanzisha jf yao!
Nyie mliopo kwenye huu uzu
Kwa kweliAsante mungu!
Good jobNani kapost picha za uchi?
Asante...Karibu
Kweli Mkuu,wengi hawajali hivyoNani kwanza kuweka picha za uchi tena humu jamani?
Mwezi wa Ramadhani wenzetu waislamu wamefunga na wana swaumu zao.
Humu ni likes, camera action baaasi. Mapicha ya uchi yana maeneo yake.
Shukrani jaziilahZenji Empire
MwakizaroMwanzange