Huu uzi wa like uliotukutanisha.Unasema jembekillo watu tushaona jembenusu..lol!
Huko wapi niupe likes mia nane.
Baraka hizoDua zenu wakuu, naelekea bandarini nimebeba makontena ya LIKES
Ukhuty anza tena A
Leo najisikia nimechoka...afu mvua inanyesha saana nje.Jamani nitajieni best korean movie mlizoangalia mkazipenda. Ukijibu quote me ili nijue