Mkuu anakulipa au ni mwenyewe kwenye magwanda na id nyingine, kula like
Max anakula bata ulayaaaaa wewe unakomaa afute uzi wetu pendwa utafutwa wewe ila huu uzi upo hapa hadi utaomba poooo@maxence mello naomba ufute huu uzi mkuu...
Ni katika mpango wetu wa kuiweka jf salama dhidi ya post na comment zisizokuwa na faida yeyote kama hizi,
Nawasilisha
Kusema hivyo nia yako ni kutuponda Cc ME lkn kimoyoni watamani kweli[emoji19]Tunataka na sie tuwe tunakojoa hovyo hovyo barabarani
Max anakula bata ulayaaaaa wewe unakomaa afute uzi wetu pendwa utafutwa wewe ila huu uzi upo hapa hadi utaomba poooo@maxence mello naomba ufute huu uzi mkuu...
Ni katika mpango wetu wa kuiweka jf salama dhidi ya post na comment zisizokuwa na faida yeyote kama hizi,
Nawasilisha
Piga picha nyingine uirushe. fanya hivyo maana nimekupa like nyingi mno yani mpaka basiNimeshafuta application ya kuedit ka mguu
Tupo saaanaaaaaBado mpoo tu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Uzi huu hausimami mpaka ngamia aingie kwny tundu ya sindano[emoji19]
City mallMayfair Plaza
Wise boy!
Amevaa shati leusi huwezi muonaSijamuona kitambo
Hongera zake sana