SitaTano
Ni mtazamo wako tu mkuu.mods naombeni muufunge uzi huu maana hauna la maana sana ila sivi page ya 560 jana tuu! zipo thread za maana lakin coment hata mia hamna? watanzania kweli mambo ya ujinga ndio tunayoyapenda ila ya maana hata kuyasoma ni mbinde!! so sad!
[emoji23][emoji23][emoji23]Leo utacomment hadi upepo kichaa napita na like tu
QUALITY OPPORTUNITY NEWSUzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa hata ukicomment herufi moja tu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau