Umesomeka na mwenyewe chukua kitu likeKwa ambao mnaendelea kuwa nasi hivi karibu.
Hatuna complicated rules humu unakumbushwa kulike uzi wa mleta mda kuonyesha support ya kuleta uzi maalumu ya like.
Gonga like kwa jamaa na marafiki kiroho safi hatuna kinyongo na like.
Dah, wanaume mmechokana. Cheki avatar ya Jembekillo!Nimekupa like
Umesoma namba za kizungu, sasa umehamia za kirumi, like zitakukondesha mwaka huu!!!!
Badili jina kwanzaJamani likes ziko wapi? Hahahaha
Lewa likes mpendwaDuh! Kweli hili ni jumba la likes
Songeni wadauTuendelee tusiendelee?
Nimekupa like yako@GrantaNataka likes
Sitaki! Maana mimi ni Goddess Isis sasa siwezi kubadilika! It's my nature! Wanajaribu kuli haribu jina la mwafrica! Wameshindwa na kulegea! Haya lete likes hahahahaBadili jina kwanza
Mimi niko hapo katikati ya Tanzania na msumbiji nimejenga hapoTanzania, Msumbiji